NEWS

Friday 12 May 2023

Chonchorio apiga jeki maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari - Mara

CEO wa Gazeti la Sauti ya Mara, Jacob Mugini (kushoto) akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara, Raphael Okello msaada wa shilingi 500,000 zilizotolewa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, Daniel Chonchorio kuchangia ufanikishaji wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika kimkoa mjini Musoma, leo Mei 12, 2023. (Picha na Mara Online News)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages