
JESHI la Polisi mkoani Arusha limetangaza kumshikilia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, Tundu Lissu (pichani) na wezake watatu, likiwatuhumu kutenda makosa mbalimbali ya uvunjifu wa sheria.

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Alfred Mtambi. ----------------------------------------- Na Mwandishi Wetu, Musoma Mkuu wa Mkoa wa Mara,...
No comments:
Post a Comment