
MFALME Charles III wa Uingereza (wa pili kushoto) na mke wake, Malkia Camilla wapo nchini Kenya tangu jana Oktoba 31, 2023 kwa ziara ya siku nne. Walipokewa na wenyeji wao, Rais William Ruto (wa pili kulia) na mke wake, Rachel.
Mwenyekiti wa Reu Jacob Karoli (mbele) akiongoza waandishi wa umoja huo kukabidhi zawadi katika wodi ya wazazi Na Godfrey Marwa,Tarime Umoja...
No comments:
Post a Comment