
MFALME Charles III wa Uingereza (wa pili kushoto) na mke wake, Malkia Camilla wapo nchini Kenya tangu jana Oktoba 31, 2023 kwa ziara ya siku nne. Walipokewa na wenyeji wao, Rais William Ruto (wa pili kulia) na mke wake, Rachel.
Mkuu wa Kitengo cha Afrika ya Kati na Mashariki cha Ujerumani, Joachim Schmitt, akizindua zahanati mpya katika kijiji na kata ya Enguserosam...
No comments:
Post a Comment