NEWS

Monday 6 November 2023

Rais Samia amkabidhi mjane wa Hayati Dkt Magufuli nyumba mpya iliyojengwa na Serikali


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan (kushoto), akikabidhi ufunguo wa mfano kwa Mama Janeth Magufuli, mjane wa Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, ikiwa ni ishara ya kukabidhi nyumba mpya ya kuishi kwa familia ya Dkt Magufuli, jijinii Dar es Salaam jana. Nyumba hiyo imejengwa na Serikali kwa mujibu wa sheria.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages