NEWS

Tuesday 5 December 2023

Waziri Mkuu Majaliwa awatembelea majeruhi wa mafuriko yaliyotokea Hanang waliolazwa hospitalini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Petro Bohai wakati alipokwenda kuwajulia hali majeruhi wa mafuriko yaliyotokea Katesh wilayani Hanang, katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara iliyopo Babati, jana Desemba 5, 2023. Kushoto ni Afisa Muuguzi Msaidizi wa hospitali hiyo, Lucas Kawawa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages