NEWS

Monday 11 March 2024

Esther Matiko ateta na wanafunzi Sekondari ya Nyandoto, awahamasisha kukazania masomo waweze kutimiza ndoto zao za kielimu


Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Esther Matiko akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyandoto wilayani Tarime hivi karibuni, ambapo pamoja na mambo mengine, aliwahamasisha kusoma kwa bidii ili waweze kufikia ndoto zao za kielimu. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages