NEWS

Sunday 21 April 2024

Rais Ruto aongoza mazishi ya Jenerali Ogolla, Ma-CDF wa Tanzania, Burundi, Malawi wahudhuria




RAIS William Ruto ameongoza maelfu ya watu katika mazishi ya Mkuu wa Majeshi ya Kenya (CDF) Jenerali Francis Omondi Ogolla katika kaunti ya Siaya, leo Aprili 21, 2024.

Mazishi hayo yamehudhuriwa pia na Ma-CDF kutoka Tanzania, Burundi na Malawi, miongoni mwa viongozi wengine kutoka ndani na nje ya taifa hilo la Afrika Mashariki.


Jenerali Ogolla enzi ya uhai.
-------------------------------------

Jenerali Ogolla (62) na maafisa wengine tisa wa Jeshi la Ulinzi la Kenya walifariki katika ajali ya helikopta Alhamisi, Aprili 18, 2024 wakati wa kuwatembelea wanajeshi waliotumwa kutekeleza operesheni ya Maliza Uhalifu ya kuwatimua majambazi wa mifugo eneo la Kaben, Marakwet Mashariki nchini Kenya, Alhamisi iliyopita.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages