
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa (kushoto) akisalimiana na kufanya majadiliano mafupi na Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ndani ya viwanja vya Bunge jijini Dodoma jana Jumatatu.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi Wetu Dar...
No comments:
Post a Comment