
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa (kushoto) akisalimiana na kufanya majadiliano mafupi na Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ndani ya viwanja vya Bunge jijini Dodoma jana Jumatatu.
Na Ada Ouko Musoma ------------ Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini imelikumbusha Jeshi la Polisi kuepuka kuwa chanzo cha kuvuru...
No comments:
Post a Comment