NEWS

Tuesday 18 June 2024

Rais Samia awasili Afrika Kusini kuhudhuria uapisho wa Rais mteule Ramaphosa



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini Afrika Kusini jana Jumatano, kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya uapisho wa Rais mteule wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa leo Juni 19, 2024.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages