
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini Afrika Kusini jana Jumatano, kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya uapisho wa Rais mteule wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa leo Juni 19, 2024.
No comments:
Post a Comment