NEWS

Friday 14 June 2024

Serikali yapendekeza bajeti ya trilioni 49.3 kwa mwaka 2024/2025

Waziri wa Fedha Tanzania, Mwigulu Nchemba jana Alhamisi aliwasilisha Bungeni jijini Dodoma mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kiasi cha shilingi trilioni 49.35 kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages