NEWS

Sunday, 18 August 2024

Washiriki wa Miss Lake Zone 2024 wazuru mkoani Mara

Washiriki wa Miss Lake Zone 2024 wakifurahia picha ya pamoja walipofanya ziara mkoani Mara jana, ambapo walipokelewa mjini Musoma na Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa huo, Kanali Evans Mtambi.

                             ----------------------
Read Also Section

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages