
Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi (kulia) na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe wakiteta jambo kwa furaha walipokutana katika kikao cha cha mashauriano cha vyama vya siasa wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) jijini Der es Salaam jana Agosti 18, 2024.
No comments:
Post a Comment