
Mwanasiasa maarufu Esther Matiko (kushoto), leo Julai 1, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kupeperusha bendara ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kinyang'anyiro cha ubunge wa jimbo la Tarime Mjini katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini Oktoba 2025. Anayemkabidhi fomu hiyo ni Kaimu Katibu wa CCM Wilaya ya Tarime, Nyasato Manumbu. (Picha na Mara Online News)

No comments:
Post a Comment