Watu kadhaa wamejeruhiwa katika ajali ya ndege ndogo
iliyokuwa ikiruka katika uwanja wa ndege
wa Mafia leo lakini hakuna kifo ambacho kimeripotiwa, RPC wa Mkoa wa Kipolisi
Rufiji Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Tuesday, 6 August 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment