NEWS

Friday 20 September 2019

HOSPITALI YA WILAYA YA SERENGETI


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti(DED) Eng Juma Hamsini ( wakwanza kushoto) na  viongozi wengine wa Wilaya ya Serengeti  wakipokea  kitanda cha kisasa ikiwa ni sehemu ya msaada uliotolewa kwa Hospitali mpya ya Wilaya ya Serengeti  kampuni ya Hotels and Lodges .  Serekali ya awamu ya tano imetoa  shilingi milioni 800  kuendeleza ujenzi wa hospitali hiyo ambayo tayari imeanza kutoa baadhi ya huduma kwa wananchi, kwa mujibu wa DED Hamsini.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages