NEWS

Friday 11 October 2019

WAFANYABIASHARA WA TARIME WAKIPATA ELIMU YA SHERIA ZA KODI


Wafanyabiashara wa mji wa Tarime wakiwa katika semina ya elimu ya marekebisho ya sheria mpya za kodi 2019 - 2020 jana . Semina hiyo iliandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Mkoa wa Mara.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages