Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itajitupa
dimbani kumenyana na Equatorial Guinea Ijumaa hii kwenye mchezo wa kuwania
kufuzu tiketi ya kuwania kushiriki michuano ya Afcon inayotarajiwa kufanyika
2021 nchini Cameroon.
Wednesday, 13 November 2019
TAIFA STARS KUJITUPA DIMBANI IJUMAA DHIDI YA EQUATORIAL GUINES
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment