Halmashauri ya Wilaya
ya Tarime leo tarehe 18 Novemba 2019 imetoa mkopo wa shilingi milioni 360 kwa vikundi 59 vya wajasiriamali
Mkuu wa Wilaya ya
Tarime Mhandisi Mtemi Msafiri amekabidhi mkopo huo kwa wajasiliamali wanaonekana kwenye picha hapo juu katika hafla iliyofanyika
katika Makao makuu mapya ya Halmashauri hiyo yalipo Nyamwaga.
No comments:
Post a Comment