NEWS

Tuesday 3 December 2019

MOGABIRI FARM EXTENSION CENTRE WATOA MSAADA KITUO CHA AFYA MAGOTO




Kituo cha Maendeleo ya Kilimo na Ushauri Mogabiri kimetoa msaada wa mashuka 50  katika kituo cha afya Magoto kilichopo  Halmashauri ya wilaya ya Tarime leo Jumanne Desemba 03,2019 ili kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuboresha huduma za afya kwa wananchi.


Wafanyakazi wa Kituo cha Maendeleo ya Kilmo na Ushauri Mogabiri wakiwajulia hali wagonjwa baada ya kutoa msaada wa mashuka.katika kituo hicho cha afya.
 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages