NEWS

Tuesday 28 January 2020

RC Malima akutana na muanzilishi wa Sauti ya Mara

CEO wa Mara Online Jacob Mugini ( kushoto) akimkabidhi  Mkuu wa Mkoa wa Mara(RC) Adam Malima  nakala ya toleo la tatu la  gazeti jipya la Sauti ya Mara baada ya kufanya  mazungumzo naye ofisini kwake  leo January 28, 2020# Mara Online News updates  

1 comment:

  1. Hongera sana kaka, hakika tunajjvunia kua nawewe ktk mkoa wetu.

    ReplyDelete

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages