Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mara ametoa msaada wa mifuko ya Saruji 100 ili kuunga mkono wananchi wilayani Rorya katika ujenzi wa shule ya Sekondari Shirati Sota wakati akiwa katika ziara ya kufatilia utekelezwaji wa ilani ya chama cha mapinduzi
Post Top Ad
Your Ad Spot
Wednesday, 29 January 2020
ZIARA YA MKOA : NO 3 ACHANGIA MIFUKO YA SARUJI 100 UJENZI WA SHULE
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mara ametoa msaada wa mifuko ya Saruji 100 ili kuunga mkono wananchi wilayani Rorya katika ujenzi wa shule ya Sekondari Shirati Sota wakati akiwa katika ziara ya kufatilia utekelezwaji wa ilani ya chama cha mapinduzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a comment