NEWS

Wednesday 19 February 2020

K atoa msaada wa saruji kwa jeshi la polisi TarimeRorya



Kamanda wa polisi Mkoa wa Kipolisi TarimeRorya(RPC) William Mkonda akipokea msaada wa mifuko ya saruji 50 leo Februari 19,2020 kutoka kwa  mdau wa maendeleo Simon Kiles  maarufu kwa jina la ‘K’ ambaye ni mfanyabiashara  katika mji wa Tarime Mkoani Mara.Saruji hiyo itatumika kukamilisha ujenzi wa kituo cha polisi cha Borega na wakwanza kushoto ni OCD wa Tarime SSP Ramadhan Sarige  #MaraOnline Updates


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages