WAZIRI wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Tanzania, Ummy Mwalimu amethibitisha kutokea
kwa kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Covid 19 (Corona) nchini humo kilichotokea
leo Alfajiri Machi 31, 2020 katika kituo cha matibabu ya waathirika wa ugonjwa
huo cha Mloganzila jijini Dar es Salaam.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Tuesday, 31 March 2020
Tanzania yathibitisha kifo cha kwanza cha Corona
Tags
BREAKING NEWS#
Share This
About MARA ONLINE
BREAKING NEWS
Labels:
BREAKING NEWS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a comment