Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Tarime Mwita Joseph na
kundi la wananchama zaidi ya 50 wa chama hicho leo Aprili 4,2020 wamehamia rasmi Chama Cha
Mapinduzi( CCM) ambapo wamepokelewa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime Daudi
Ngicho na viongozi mbalimbali wa CCM akiwemo Mbunge wa Jimbo la Ukonga Mwita
Waitara .
Waitara amesema wanachama hao wapya wa
CCM wamefanya maamuzi sahihi.
No comments:
Post a Comment