NEWS

Wednesday 8 April 2020

NYERERE MWERA ATOA MSAADA WAVIFAA VYA KUKABILI CORONA TARIME


Mdau wa maendeleo Nyerere Mwera,leo April 8, 2020, ametoa msaada wa vifaa mbalimbali  vya kujikinga na maambukizi  ya virusi vya Corona ikiwemo Vitakasa Mikono (Sanitizers), Barakoa, Gloves na Ndoo kwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhandisi Mtemi Msafiri ambapo vifaa  hivyo vitasambazwa  katika maeneo mbalimbali  ya wilaya hiyo kudhibidi   COVID 19  #MaraOnlineNews

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages