NEWS

Saturday 11 April 2020

MWANACHUO MBARONI KWA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO MITANDAONI KUHUSU CORONA


Jeshi la polisi mkoani shinyanga limesema linamshikilia mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM)  kwa kosa la kusambaza mitandaoni taarifa za uongo kuhusu ugonjwa wa corona.
#MaraOnlineNewsUpdates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages