NEWS

Friday 10 April 2020

TRA MARA YAKAMATA SHEHENA YA SIGARA YENYE THAMANI YA SH MILIONI 275




Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) leo April 10 2020  imekamata shehena ya sigara  ambayo inadaiwa kuingia nchini kwa njia ya magendo yenye thamani ya shilingi milioni 275, kwa mujibu wa Meneja wa TRA Mkoa wa Mara Wallace Mnkande #Mara Online News Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages