Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, ametangaza kifo cha Waziri wa Katiba
na Sheria, Balozi Dkt Augustine Mahiga, kilichotokea alfajiri ya leo Ijumaa Mei
1, 2020 nyumbani kwake jijini Dodoma. Rais amesema waziri huyo ameugua ghafla
kabla ya kufikwa na mauti.
Thursday, 30 April 2020
Waziri Mahiga afariki dunia, Rais Magufuli amlilia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment