Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada
ya Jumapili ya Tano baada ya Pasaka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020
mara baada ya Ibada.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akikabidhi Mchango wake kwa ajili ya Ujenzi wa Kanisa la (KKKT) Usharika wa
Chato kiasi cha Shilingi milioni 10 kwa Mchungaji wa Jimbo la Kusini c (Biharamulo)
Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Kanisa hilo Mch. Thomas Pascal Kangeizi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika Ibada ya Jumapili ya Tano baada ya Pasaka katika Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe
17 Mei 2020. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment