Mkurugenzi wa Chuo cha IPA Zanzibar, Dkt Mwinyi Talib Haji, leo
Juni 11, 2020 amepokea msaada wa barakoa zilizonunuliwa na CCM Tawi la
China kutoka Kiwanda cha UVCCM Taifa-IHEMI-Iringa na Chuo cha Ushoni cha
Baraza la Vijana Wilaya ya Magharibi B, Zanzibar.
Makabidhiano hayo yamefanywa na viongozi wa CCM Tawi la China
wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tawi Gill, Salum Mohamed Ramia na Katibu wa Siasa
na Uenezi wa Tawi hilo, Abdul Waheed Sarbouk.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a comment