
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiondoka nchini leo Jumapili, Februari 2, 2026 kuelekea Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kushiriki mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS).
Ushiriki wa Tanzania katika WGS 2026 unaakisi utekelezaji wa Dira 2050 na Sera Mpya ya Mambo ya Nje, zinazoweka diplomasia ya kiuchumi kama nguzo ya mahusiano ya kimataifa.
Lengo ni kuoanisha sera, ushirikiano na mitaji ya uwekezaji kwa maendeleo ya taifa.
No comments:
Post a Comment