NEWS

Tuesday 25 August 2020

Mkuu wa Masista wa Upendo Masanga avutiwa huduma za Mara Online

Sista Bibiane Bokamba akipokea nakala ya gazeti la Sauti ya Mara lilipo mitaani wiki hii kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Watejawa  wa Mara Online, Win Magaria.
 

MKUU wa Masista wa Upendo (Daughters of Charity) Kituo cha Masanga kilichopo Tarime mkoani Mara, Sista Bibiane Bokamba, leo Jumanne Agosti 25, 2020 ametembelea ofisi za Mara Online zilizopo mjini Tarime ambapo ameeleza kufurahishwa na huduma zinazotolewa na Mara Online ikiwemo ya kuhabarisha, kuelimisha na kubudushisa jamii.

Sista Bibiane Bokamba akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Mkurugenzi wa Mara Online.
 

Mara Online inamiliki gazeti la Sauti ya Mara linalochapishwa kila Jumatatu na blogu ya Mara Online News.

1 comment:

  1. Mara oneline ni gazeti la.wana mara hongereni kwa kazi nzuri

    ReplyDelete

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages