NEWS

Thursday 29 October 2020

Chege amgaragaza Wenje Rorya

Mbunge mteule wa jimbo la Rorya, Jafari Chege (CCM).


MGOMBEA Ubunge Jimbo la Rorya kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jafari Chege, ameibuka na ushindi mnono katika kinyang'anyiro hicho akimshinda kwa mbali mshindani wake wa karibu, Ezekiah Wenje wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).


Akitangaza matokeo leo Oktoba 29, 2020, Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Rorya, Charles Chacha, amemtangaza Chege akisema ameibuka mshindi baada ya kuvuna kura 53,739 dhidi ya Wenje aliyepata kura 28,168.


#MaraOnlineNews-updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages