|
Mwenyekiti
wa Chama Cha Wafanyabiashara, wenye Viwada na Kilimo Tanzania (TCCIA) Mkoa wa
Mara, Boniface Ndengo (wa tatu kushoto waliokaa) na viongozi wapya wa TCCIA Wilaya
ya Tarime (waliokaa wakiwa wamevalia sare ya fulana nyeupe) na baadhi na
wanachama wa chama hicho kutoka maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo - katika picha
ya pamoja baada ya kufanikisha uchaguzi wa viongozi hao wapya mjini Tarime, leo
Januari 19, 2021. (Picha na Sauti ya
Mara)
|
No comments:
Post a Comment