Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Kemikimba (wa tatu kushoto), Mkurugenzi wa Rasilimali za Maji wa Wizara hiyo, Dkt George Lugomela (wa tatu kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria (LVBWB), Dkt Bonaventure Baya (wa pili kulia), Kaimu Mkurugenzi wa LVBWB, Dkt Renatus Shinhu (kulia) na wawakilishi wa makatibu tawala wa mikoa ya Mara na Mwanza wakifurahia uzinduzi wa mpango wa ugawanaji maji katika bonde la mto Mara, uliofanyika jijini Mwanza, jana Aprili 24, 2021. #MaraOnlineNews-Updates
|
No comments:
Post a Comment