NEWS

Wednesday, 9 August 2023

Benki ya Azania na Kampuni ya Agricom zasaini mkataba wa kuwezesha wakulima



Mkurugenzi wa Hazina wa Benki ya Azania, Gilbert Mwandimila (wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Agricom Afirka, Alex Duffar (wa pili kulia) wakisaini mkataba wa makubaliano baina ya taasisi hizo kwa ajili ya kuwezesha wakulima kupata zana bora za kilimo kupitia mkopo wenye masharti nafuu. Wengine ni Mkuu wa Idara ya Kilimo wa Benki ya Azania, Augustino Matutu (kushoto) na Meneja wa Agricom Tawi la Kanda ya Kusini, Joseph Manoni (kulia).
----------------------------------------------------

Na Mwandishi Wetu
---------------------------

BENKI ya Azania na Kampuni wauzaji wa zana bora za kilimo ya Agricom Africa, zimeingia makubaliano yatakayowesha wakulima kupata zana hizo kwa urahisi. 

Kupitia ushirikano huo, wakulima watapata zana bora zinazosambazwa na Kampuni ya Agricom kwa njia ya mkopo wenye masharti nafuu kutoka Benki ya Azania. 

Mkataba huo ulisainiwa jijini Mbeya katika Maonesho ya Kilimo ya Nanenan

#Tunakuhabarisha Ukweli kwa Weledi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages