NEWS

Saturday 26 August 2023

Nyanungu: Diwani Tiboche, CEO Mara Online wateta



Diwani wa Kata ya Nyanungu, Tiboche Richadi (wa pili kutoka kushoto) na CEO wa Mara Online, Jacob Mugini (wa pili kutoka kulia) wakisalimiana kwa furaha walipokutana na kuteta katani humo leo Jumamosi.
-----------------------------------------------------

Na Mwandishi Wetu –
Mara Online News
-------------------------- 


DIWANI wa Kata ya Nyanungu wilayani Tarime, Tiboche Richard na Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Mara Online, Jacob Mugini wamekutana na kufanya mazungumzo mafupi ya furaha katani humo leo Jumamosi. 


Sina nia ya kugombea udiwani Nyanungu, kuwa na amani. Ndivyo CEO Mugini (kulia) anavyoonekana kumwambia Diwani Tiboche.

CEO Mugini pia amewasilisha kwa diwani huyo mchango wake wa maji kwa ajili ya wachezaji wa mashindano ya soka ya Tiboche Cup ambayo fainali yake itafanyika kesho Jumapili. 

Katika tukio hilo, CEO Mugini amefuatana na mke wake, Rhoda, baada ya kushiriki ibada ya Jumamosi katika Kanisa la SDA Tarime Mjini. 

#Tunakuhabarisha Ukweli kwa Weledi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages