NEWS

Thursday 17 August 2023

Manispaa ya Ilemela yaifunga The Cask Bar & Grill, TRA yasema haijahusika




Na Mwandishi Wetu
-------------------------- 


HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilemela imetangaza kuifunga The Cask Bar & Grill kuanzia jana Agosti 16, 2023, kutokana na kukiuka sharia na taratibu kwa kuendesha biashara bila leseni - kinyume cha sharia za nchi. 

Kwa mujibu wa taarifa hizo, halmashauri hiyo imekagua na kubaini kuwa baa na hoteli hiyo ya The Cask iliyopo eneo la Rocky City Mall jijini Mwanza, imekuwa ikiendesha biashara za vileo, shisha na vyakula bila leseni. 

Wakati huo huo, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema haijahusika kwa namna yoyote katika ufungaji wa The Cask Bar & Grill. 

#Tunakuhabarisha Ukweli kwa Weledi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages