
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, jana Septemba 3, 2023 alifanya uteuzi wa Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Majaji wanne wa Mahakama ya Rufani na Majaji 20 wa Mahakama Kuu.


Simba ndani ya NCAA Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) mkoani Arusha imesema simba 10 wameuawa katika eneo la...
No comments:
Post a Comment