
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko, leo Oktoba 7, 2023 amezuru na kufanya sala kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato, mkoani Geita.

Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Gowele. Na Mwandishi Wetu Tarime ------------- Mkuu wa Wilaya (DC) ya Tarime, Meja Edward Gowele, amew...
No comments:
Post a Comment