
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Esther Matiko akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyandoto wilayani Tarime hivi karibuni, ambapo pamoja na mambo mengine, aliwahamasisha kusoma kwa bidii ili waweze kufikia ndoto zao za kielimu. (Na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment