
Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko akipokea zawadi kutoka kwa Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mara, Mhandisi Vedastus Maribe, wakati alipotembelea banda la maonesho ya Wizara ya Ujenzi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma jana Jumatatu.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Grace Entertainment & Promotion, Grace Revocatus Shija akifurahia nakala ya Sauti ya Mara aliyopewa na Mha...
No comments:
Post a Comment