NEWS

Wednesday, 5 November 2025

Hamza Saidi Johari aapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Hamza Saidi Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Novemba 5, 2025.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages