
Waziri wa Uchukuzi, Prof, Makame Mnyaa Mbarawa (aliyevaa miwani na shati jeupe), akisalimiana kwa kushikana mikono na kada wa CCM, Nicolaus Mahando Mgaya - maarufu kwa jina la Chichake ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kemanyanki Contractors Manpower and Supply Company Ltd, wakati wa hafla ya uzinduzi wa majaribio ya kuruka na kutua kwa ndege katika Uwanja wa Ndege Musoma, jana Juni 12, 2026.

No comments:
Post a Comment