
Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Ziwa, Mhandisi Nyirabu Musira (kushoto), akikabidhi zawadi kwa Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara (MRPC), Jacob Mugini, leo mjini Musoma, baada ya mamlaka hiyo kuendesha semina ya kuwaelimisha wanachama wa klabu hiyo kazi na majukumu yake. (Picha na Mara Online News)
No comments:
Post a Comment