NEWS

Thursday, 18 June 2026

Waziri Nyansaho atua Musoma kufunga kambi ya UWT CCM Mkoa wa Mara



Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho (aliyevaa miwani na kaunda suti), leo Juni 18, 2026 amepokewa na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Alfred Mtambi (aliyevaa suti ya bluu), alipowasili kwa ajili ya kufunga kambi ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) CCM Mkoa wa Mara. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Umoja huo, Nancy Msafiri.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages