
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba (aliyevaa skafu), akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Patrick Chandi na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, mara ya baada ya kiongozi huo wa kitaifa kuwasili mkoani kwa ziara ya kikazi leo Julai 1, 2026.
No comments:
Post a Comment